Wanaume wa JamiiForums nawajibu kwa nini tunawafungia PM na wengine hatuwajibu

Wanaume wa JamiiForums nawajibu kwa nini tunawafungia PM na wengine hatuwajibu

Haaa!jamani ndo maana sitoi namba zangu kirahisi naogopa Mimi!sura lenyewa baya hiviiii![emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19]jamanii
Yy anajisikia raha huko kunisambazia picha yangu niliyofanana na na baba angu akikaa na watu wake huko anawaonyesha we kaka endelea salaam zako nazidi kupata utafurahi
 
Kuna watu wanapenda kutafuta "sifa" za kijinga ili na yeye aonekane mjanja mbele ya wenzake kwa kusema anamfahamu mtu fulani.

By the way kama yeye anapata sifa kwa ajili ya picha zako, basi wewe ni maarufu kumzidi yeye, mpotezee tu na kumwacha kama alivyo. Kwenye Jamii hii kuna watu wenye akili za kila namna.
Kaka angu huo mstari wa kwanza umemaliza na anapenda sana kila mwana jf amjue yaani ndio zake hizo
 
Acha tu mama mwenyewe unajiongelesha kwenye thread unajidanganya mm kipotabo mtu anakuquote we shunia acha uongo nakujua mm mbona ww kibonge cheusi unajiuliza kanijuaje mwisho wa siku kumbe ana ukaribu na bwana pepsi picha alionyeshwa na bwana pepsi

Usikubali kukutwa na bwana pepsi kabisa
[emoji23] [emoji23] [emoji23]usikubali kukutwa na bwana peps hata siku moja!!yaani nilivyo na shepu baya kama kabati mwenzenu acha niendeleee kukaa kimya nisiwajibu!
 
Daaaah pole sana Shuniie..
Kwakweli bora niwe na mawasiliano na wanaume tu wa JF. Sasa anapata faida gani???
Kuonekana anatajua sana hyo ndo faida yake!
Maana mpk watu wanajuta ujue kifahamiana na watu humu Mimi bwana hapana I'm scared!!
 
Back
Top Bottom