Wanaume wa JamiiForums nawajibu kwa nini tunawafungia PM na wengine hatuwajibu

Hili kweli kabisa Bitoz ulichoongea ndio hivyo mtu unajifunza kutokana na makosa
Kuna watu humu Jf wana makundi au team sasa hapo ukifahamiaba na mmoja ni sawa na kufahamiana ns kundi zima maana A atampasie B zen mwisho wa siku hadi Z itamfikia
 
Ohoooo....!! Tunaishi mara moja ujue, mwombee maisha marefu aone the wei yu geti rilifu from ze pein hi gevyu!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] am sceadi zat hi ceni chenji awa konstitusheni ende remein zea foreva !!ai wishi ai wishi
 
Shuniii![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji17] [emoji23] huyo kaka huko alikoo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nokia nabisha huna
Ngoja aweke picha yako umekaa kwenye majani vidole viwili juu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…