Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna watu humu Jf wana makundi au team sasa hapo ukifahamiaba na mmoja ni sawa na kufahamiana ns kundi zima maana A atampasie B zen mwisho wa siku hadi Z itamfikiaHili kweli kabisa Bitoz ulichoongea ndio hivyo mtu unajifunza kutokana na makosa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] am sceadi zat hi ceni chenji awa konstitusheni ende remein zea foreva !!ai wishi ai wishiOhoooo....!! Tunaishi mara moja ujue, mwombee maisha marefu aone the wei yu geti rilifu from ze pein hi gevyu!!
Ndio hivyo mama.Jamani kaah
Kwakweli mlinde tu anko wako maana hali si hali, na kuzeeka kagoma kabisa.Ndio mzigo wako auntie ila huwa nakulindia ujue
Shuniii![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji17] [emoji23] huyo kaka huko alikooNakazia wakunyumba bora upate mtu jukwaani mbea muelewane kuliko anayejifanya anaheshima yaani we kaka sijakudhania kabisa hivi ulikuwa unaiba picha zangu kwa dp unazisave mm ni mkeo haya unaowaonyesha huyu ndio shunie wanarudi wananiambia mfyuuuu jitu kubwa kama mtoto
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimesoma comment moja moja bila shaka mlengwa mkuu yupo [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] .
Nilitegemea ningeona comment yake kumbe kajua kujikausha kizazi[emoji28] [emoji28] [emoji28] .
Wewe mwanaume unakuwa smart kumbe booooonge la snitch.[emoji107] [emoji107] [emoji107] [emoji107]
Mwambie mchumba ako tabia za kunicheka ohooo, nitampasuaaa
Kuna watu humu Jf wana makundi au team sasa hapo ukifahamiaba na mmoja ni sawa na kufahamiana ns kundi zima maana A atampasie B zen mwisho wa siku hadi Z itamfikia
Kumbe hulagi zile mbuzi katolikii
Kwakweli mlinde tu anko wako maana hali si hali, na kuzeeka kagoma kabisa.