Wanaume wa JamiiForums nawajibu kwa nini tunawafungia PM na wengine hatuwajibu

hahaaa usirudi baki huko huko ", usijekuunguza mboga bure
 
Niko hapa kwa abd banda na kiba daughters ndan ya tanga beach resort mambo bado bado maandaliz hayo wacha tumkaribishe shemela ndani ya tanga[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Halafu huyu mzee wa mbuzi ndio huyuhuyu aliyekuwa anaiba picha kwa dp zangu
Hashindwi, yani yupo zaidi ya mwanamke wa kzrm ila jukwaani anaact kiume ila ni huuuuma (in maasai voice).
ukisema this December utaenda vacay somewhere anaanza kusambaza umbea sasa ile vacay ya shunie alinikopa mimi hela ha ha ha ha mzee wa mbuzi we ni kiboko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…