Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha haa haina shida hata hivo najulikana tu mbona mamaHaha[emoji3][emoji16][emoji16]yaani wanatujua kuliko tunavyojijua kaah!Valentina kwelii mi nakujua ujue[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]
Kwanini mkuuEeeh Mungu nisaidie nisi comment kwenye huu uzi .
Ila ngoja kwanza .
Mimi nikiona mtu kani pm siku hizi nakemea kabisa.
hahaaa usirudi baki huko huko ", usijekuunguza mboga bureHapo kwenye kuwajua watu hapo yaani hapo hapo yamenikuta mm mtu unakutana nae jukwaani anakwambia shunie nakujua ww khee umenijuaje kumbe kuna pugi anasambaza picha zangu
We kaka endelea tu kusambaza picha zangu sawa eenh hivi unalipwa kwa mfano ukisambaza picha za mtu haya unanisambazia picha zangu ndio kwanza wananisifia hawanipondi kama ulitaka waniponde imekula kwako na uendelee vizuri kusambaza picha zangu mfyuuuuuu zako
Nitarudi
hahaaa usirudi baki huko huko ", usijekuunguza mboga bure
Mzee wa mbuzi ana tabia zote tajwa I wish hata watu wamjue the real him, wajue his true color akija pm fukuza kama mbwa mwizi
wewe ndio unataka kuharibu nyumba yangu ?Abeeh anko wangu jamani nakupenda mm [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
wewe ndio unataka kuharibu nyumba yangu ?
usinifanyie hivyoMzee wa mbuzi ana tabia zote tajwa I wish hata watu wamjue the real him, wajue his true color akija pm fukuza kama mbwa mwizi
Hashindwi, yani yupo zaidi ya mwanamke wa kzrm ila jukwaani anaact kiume ila ni huuuuma (in maasai voice).Halafu huyu mzee wa mbuzi ndio huyuhuyu aliyekuwa anaiba picha kwa dp zangu
We huwezi kuwa mzee wa mbuzi ha ha hausinifanyie hivyo
Mimi na wewe dam dam
Kwa mbali mbali karibuni sanaa sana View attachment 827039
Umakini ni kufanya setting tu watu uliowasave waone dp yakoKutuma, kusambaza picha au mambo ya PM ni ujinga kwa anafanya hivyo kuliko mhusika mwenye picha au anaesemwa.
Nilichojifunza, umakini kwenye kuamua picha ipi iwe DP.