Wanaume wa JamiiForums nawajibu kwa nini tunawafungia PM na wengine hatuwajibu

Wanaume wa JamiiForums nawajibu kwa nini tunawafungia PM na wengine hatuwajibu

Mzee wa mbuzi ni huyuhuyu jukwaani huwezi mdhania unamuona kaka wa heshima si ndio huyu
Hashindwi, yani yupo zaidi ya mwanamke wa kzrm ila jukwaani anaact kiume ila ni huuuuma (in maasai voice).
ukisema this December utaenda vacay somewhere anaanza kusambaza umbea sasa ile vacay ya shunie alinikopa mimi hela ha ha ha ha mzee wa mbuzi we ni kiboko
 
Uwiiiiiii Eve mulemule mm bwana kuna siku nipo mmu nachat na mtu namwambia mm kipotabo akatokea mdada shunie nakujua ww wala haupo hivyo ww ni bonge nikamuuliza unanijua unajuaje we jua tu nakujua picha yako ninayo woiiiii si ndio kuja kumuona yupo karibu na mzee wa mbuzi nikasema huyu bwana pepsi kaniuza na sio huyo mdada wapo wengine wawili
Huyo huyo jukwaani anaact wise man ila sio wise yani hata ukimtxt mambo, ujue hiyo salamu itaonwa na watu wengi screenshot
 
Uwiiiiiii Eve mulemule mm bwana kuna siku nipo mmu nachat na mtu namwambia mm kipotabo akatokea mdada shunie nakujua ww wala haupo hivyo ww ni bonge nikamuuliza unanijua unajuaje we jua tu nakujua picha yako ninayo woiiiii si ndio kuna kumuona yupo karibu na mzee wa mbuzi nikasema huyu bwana pepsi kaniuza na sio huyo mdada wapo wengine wawili
Aisee! Kumbe JF ni zaidi ya niijuavyo[emoji848][emoji848][emoji848]
 
Back
Top Bottom