Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Mzee wa mbuzi ni huyuhuyu jukwaani huwezi mdhania unamuona kaka wa heshima si ndio huyu
Hashindwi, yani yupo zaidi ya mwanamke wa kzrm ila jukwaani anaact kiume ila ni huuuuma (in maasai voice).
ukisema this December utaenda vacay somewhere anaanza kusambaza umbea sasa ile vacay ya shunie alinikopa mimi hela ha ha ha ha mzee wa mbuzi we ni kiboko