Wanaume wa JamiiForums nawajibu kwa nini tunawafungia PM na wengine hatuwajibu

Mzee wa mbuzi ni huyuhuyu jukwaani huwezi mdhania unamuona kaka wa heshima si ndio huyu
 
Uwiiiiiii Eve mulemule mm bwana kuna siku nipo mmu nachat na mtu namwambia mm kipotabo akatokea mdada shunie nakujua ww wala haupo hivyo ww ni bonge nikamuuliza unanijua unajuaje we jua tu nakujua picha yako ninayo woiiiii si ndio kuja kumuona yupo karibu na mzee wa mbuzi nikasema huyu bwana pepsi kaniuza na sio huyo mdada wapo wengine wawili
Huyo huyo jukwaani anaact wise man ila sio wise yani hata ukimtxt mambo, ujue hiyo salamu itaonwa na watu wengi screenshot
 
Aisee! Kumbe JF ni zaidi ya niijuavyo[emoji848][emoji848][emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…