Wanaume wa JamiiForums nawajibu kwa nini tunawafungia PM na wengine hatuwajibu

mi nmesikia mpya tena kwamba Evelyn Salt kagombana na N kisa mimi, nimetuma mzigo kutoka nje ya nchi ambao Evelyn aliomba, ila N kaupokea kaufungua so wamegombana.....sijui alituma mzigo wa pmbu zake
 
mi nmesikia mpya tena kwamba Evelyn Salt kagombana na N kisa mimi, nimetuma mzigo kutoka nje ya nchi ambao Evelyn aliomba, ila N kaupokea kaufungua so wamegombana.....sijui alituma mzigo wa pmbu zake
Eeenh
 
Mzee wa mbuzi ana tabia zote tajwa I wish hata watu wamjue the real him, wajue his true color akija pm fukuza kama mbwa mwizi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] uko vzr evelyne!mzee wa mbuzi!hahaq
 
Hahaaaa eti ni huuuuuma
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji121] [emoji121] [emoji121] hatariiii
 
Huyo huyo jukwaani anaact wise man ila sio wise yani hata ukimtxt mambo, ujue hiyo salamu itaonwa na watu wengi screenshot.
anajifanya anapenda interaction ila trust sio interaction ya ukweli anatafuta umbea
Ahsante Evelyn unamjua vzr sana huyu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…