Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Haya nakutumia
Nitumie ile nyingne ya halotel nikutumie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitumie ile nyingne ya halotel nikutumie
Hivi haujamjua tuu???Umeniacha kwa mataa. Weka hata kifupi cha jina lake
mi nmesikia mpya tena kwamba Evelyn Salt kagombana na N kisa mimi, nimetuma mzigo kutoka nje ya nchi ambao Evelyn aliomba, ila N kaupokea kaufungua so wamegombana.....sijui alituma mzigo wa pmbu zakeUwiiiiiii Eve mulemule mm bwana kuna siku nipo mmu nachat na mtu namwambia mm kipotabo akatokea mdada shunie nakujua ww wala haupo hivyo ww ni bonge nikamuuliza unanijua unajuaje we jua tu nakujua picha yako ninayo woiiiii si ndio kuja kumuona yupo karibu na mzee wa mbuzi nikasema huyu bwana pepsi kaniuza na sio huyo mdada wapo wengine wawili
Umakini ni kufanya setting tu watu uliowasave waone dp yako
Eeenhmi nmesikia mpya tena kwamba Evelyn Salt kagombana na N kisa mimi, nimetuma mzigo kutoka nje ya nchi ambao Evelyn aliomba, ila N kaupokea kaufungua so wamegombana.....sijui alituma mzigo wa pmbu zake
AsanteKwa hii hali hata walioseviwa wakiamua kufanya upugi watafanya tu.
Lakini kwanini mtu uishi kwa kuogopa watu?
Pole Mama Yeyoo
Hahaaaa eti ni huuuuumaHashindwi, yani yupo zaidi ya mwanamke wa kzrm ila jukwaani anaact kiume ila ni huuuuma (in maasai voice).
ukisema this December utaenda vacay somewhere anaanza kusambaza umbea sasa ile vacay ya shunie alinikopa mimi hela ha ha ha ha mzee wa mbuzi we ni kiboko
Leo tenaa zabibu kajua kutukomesha wambea jamani!sherehe sijui sitaaKwa mbali mbali karibuni sanaa sana View attachment 827039
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji121] [emoji121] [emoji121] hatariiiiHashindwi, yani yupo zaidi ya mwanamke wa kzrm ila jukwaani anaact kiume ila ni huuuuma (in maasai voice).
ukisema this December utaenda vacay somewhere anaanza kusambaza umbea sasa ile vacay ya shunie alinikopa mimi hela ha ha ha ha mzee wa mbuzi we ni kiboko
Hahaaa!
Ahsante Evelyn unamjua vzr sana huyu!Huyo huyo jukwaani anaact wise man ila sio wise yani hata ukimtxt mambo, ujue hiyo salamu itaonwa na watu wengi screenshot.
anajifanya anapenda interaction ila trust sio interaction ya ukweli anatafuta umbea

Nifinye basi myMzee wa mbuzi ana tabia zote tajwa I wish hata watu wamjue the real him, wajue his true color akija pm fukuza kama mbwa mwizi
Duuuh Kwaiyo pic zako kasambazaAnaesemwa hapaa!ananijua sanaa