Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
Nakusubiri kwa Prime MinisterHapana uko wapi?
Daaaah pole sana Shuniie..
Kwakweli bora niwe na mawasiliano na wanaume tu wa JF. Sasa anapata faida gani???
UnakumbukA pichA ya yule demu nliyokurushia ?Mwanamke unayejitambua unaanzaje kutuma nude picture kwa mwanaume uliyekutana naye mtandaoni? Tena Married woman. Acheni yawapate mnajitakia.
Hafu muwe mnaangalia na watu wa kuwasiliana nao.
Sorry
HapanaHahhahah na wewe unachangia eenh
Anapata faida gani akifanya hivyo?
Bwana Pepsi sio mzuri kabisa salaam zako tunazo[emoji23] [emoji23] [emoji23]usikubali kukutwa na bwana peps hata siku moja!!yaani nilivyo na shepu baya kama kabati mwenzenu acha niendeleee kukaa kimya nisiwajibu!
Pole sana niambiE ni nan ? Anayekufanyia umafia dada yanguSijampatia picha nipo nae WhatsApp anaiba kwa dp tunaheshimiana sana lakini ana akili za kipugi jitu zima
Poleni sana dadaa.Kuonekana anatajua sana hyo ndo faida yake!
Maana mpk watu wanajuta ujue kifahamiana na watu humu Mimi bwana hapana I'm scared!!
pm yangu utajibu lini??Huwa nacheka sana huko PM jinsi akili za watu zilivyo visoda.
Na wale mnaojitambua endeleeni hivyo hivyo.
kweli jf imekuwa mpya sasa, naona umeshazoea ban umekuwa sugu sasa
hizi shikamoo mpaka huku??
Hahaha manina walahiUsiwe na akili za kipugi tu mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilionyeshwa pichA yako hahahaha ..... Nilicheka sana