Wanaume wa JamiiForums nawajibu kwa nini tunawafungia PM na wengine hatuwajibu

hivi hua mnaanzaje kutumiana PM, na hadi mnatafutana kabisa , mimi watu wa kwenye mitandao siwaamini kabisa na hua mazoea sitaki, tutachart hadharani na kuishia hapo.
 
wewe mwanamke mzima ujitambulishe kwa watoto wa mitandaoni unategemea nini sasa.
 
Yaan namchekeaga kiunafki sana kama ile ile issue yangu na sakayo ilikuwa inahusu nn kukwambia wewe basi bora kakwambia wewe je ni wangapi aliwaambia mfyuuuuu
[emoji85] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji85] [emoji85] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] jamani shunie acha tu,ila Mimi ujue sio mbea niliuchuna mpk juzi hapa ndo mmesema sikutaka miye ukorofii!!!ila daah!too bad!!
 
Yaan na ukishaona tu mtu anaitwa dada sijui mdogo wangu juwa ameshaisha kashakutana na bwana pepsi aka mzee wa mbuzi
Ila have learned watu wanaojifanya soo social ni wakutizama kwa jicho la tatu, make huo usosho anakua na marafiki wengi plus kuact mzee wa busara unampa mastory tayari kapata umbea.... Mzee wa mbuzi we kiboko sudy brown akasome
 
Na bora haujaniambia toka mda kichambo kingemuhusu kama cha kipindi kile anavyotoa picha zangu kwa dp na kusambaza na kichambo kile lakini bado aliendelea na tabia yake
[emoji85] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji85] [emoji85] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] jamani shunie acha tu,ila Mimi ujue sio mbea niliuchuna mpk juzi hapa ndo mmesema sikutaka miye ukorofii!!!ila daah!too bad!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…