Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] boksa inambana huko! Simuoni Leo hapaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nikikutana na picha yangu ni wewe. Naona ushaanza nisema sema na magagulo yangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bwana pepsiiii!mkutane asikuzambaze sasa ya nini kusambazanaaa
Mmmh? Naomba kuja piemu.Siyo mwenye jina linaanzia kama lako kweli[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Wale tunaosoma comment tutambuane plllzzzzz.
Haji tena hapa
[emoji85] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji85] [emoji85] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] jamani shunie acha tu,ila Mimi ujue sio mbea niliuchuna mpk juzi hapa ndo mmesema sikutaka miye ukorofii!!!ila daah!too bad!!Yaan namchekeaga kiunafki sana kama ile ile issue yangu na sakayo ilikuwa inahusu nn kukwambia wewe basi bora kakwambia wewe je ni wangapi aliwaambia mfyuuuuu
Ila have learned watu wanaojifanya soo social ni wakutizama kwa jicho la tatu, make huo usosho anakua na marafiki wengi plus kuact mzee wa busara unampa mastory tayari kapata umbea.... Mzee wa mbuzi we kiboko sudy brown akasomeYaan na ukishaona tu mtu anaitwa dada sijui mdogo wangu juwa ameshaisha kashakutana na bwana pepsi aka mzee wa mbuzi
Ukute hata ni wewe.Jamani si mumtaje tu ili watu wafunguke nataka mapicha tu yamwagike jumamosi iishe vzr....wadada wa humu waogaaa
[emoji85] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji85] [emoji85] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] jamani shunie acha tu,ila Mimi ujue sio mbea niliuchuna mpk juzi hapa ndo mmesema sikutaka miye ukorofii!!!ila daah!too bad!!
Ukute hata ni wewe.
Siku yako ipo utaishia kuchungulia tuu