Ila have learned watu wanaojifanya soo social ni wakutizama kwa jicho la tatu, make huo usosho anakua na marafiki wengi plus kuact mzee wa busara unampa mastory tayari kapata umbea.... Mzee wa mbuzi we kiboko sudy brown akasome
Havai boxa bana alikuaga anaaga Eve baadae ngoja nikafue chupi, nauliza chupi au boxa et chupi mie sipendi kuvaa boxa...[emoji23] [emoji23] boksa inambana huko! Simuoni Leo hapaa
Ziwe fupi kwa kweli yasiwe magezeti kama ya muna.Comments ziwe fupi fupi tafadhali!!![emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ila have learned watu wanaojifanya soo social ni wakutizama kwa jicho la tatu, make huo usosho anakua na marafiki wengi plus kuact mzee wa busara unampa mastory tayari kapata umbea.... Mzee wa mbuzi we kiboko sudy brown akasome
Umenifanya nipitie likes Kwenye Kila comment naona za wadada tu na mwanaume mmojaHapa ameshakuja na ameshalike juu huko
Nakuangalia tu, ngoja nije pm, au imefungwa!?Ila have learned watu wanaojifanya soo social ni wakutizama kwa jicho la tatu, make huo usosho anakua na marafiki wengi plus kuact mzee wa busara unampa mastory tayari kapata umbea.... Mzee wa mbuzi we kiboko sudy brown akasome
Ziwe fuuuuuupi mstari mmoja tunaosoma tusipate tabuHalafu comment ziwe fupifupi
Nakazia ndo maana bebe wangu sio mtu wa sosho Yuko cool!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ila have learned watu wanaojifanya soo social ni wakutizama kwa jicho la tatu, make huo usosho anakua na marafiki wengi plus kuact mzee wa busara unampa mastory tayari kapata umbea.... Mzee wa mbuzi we kiboko sudy brown akasome
ShilawaduuuSi mtaje basi hata herufi mbili za jina lake jamani mbona mnatuacha gizani namna hii
mitandaoni maigizo , kila mmoja kasoma chuo, kila mmoja tajiri, kila mmoja anagari hawaaminiki kabisa.Wa mtandaoni ndo hao wa ofisini na mtaani usiseme hvyo watu wameoa nakuolewa humu na wako happily ever after!!
Weeee, badoKaribu
Nilijua hilo Mimi ndo maana nakujua wewe mtu wa kupanick hutaki ujingaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]Na bora haujaniambia toka mda kichambo kingemuhusu kama cha kipindi kile anavyotoa picha zangu kwa dp na kusambaza na kichambo kile lakini bado aliendelea na tabia yake
Nn?Weeee, bado
ha ha ha haOk nakomenti hapa ili wasije wakasema id zinazosumbua watu pm hazijaja kukomenti