Weee acha kabisa bhn hapa nimevizia ujue ila ndo hivyo nalinda heshima ya shemela sema ubuyu umenijaa hapa kifuani hasa yule LS huwa namtamani yule na id ya kama mojaaa khaaaa ni balaaaaKumbeez ndio mana ulikuwa huonekani humu umekatazwa
Mi nisambaze ili mwanangu zisambazwe pia?Mm bhn najiamini mzuri wa face hata ukisambaza picha kazi bureee
NakaziaaTumekutana na positive impacts humu humu,
Biashara, elimu na hata mahusiano
Haya mengineyo ni matokeo tu yasiyotarajiwa kutokana na utofauti wa watu.
Hata mitaani unaweza ukaishi na watu vizuri ila negative impacts hazikosekani.
Tumekutana na positive impacts humu humu,
Biashara, elimu na hata mahusiano
Haya mengineyo ni matokeo tu yasiyotarajiwa kutokana na utofauti wa watu.
Hata mitaani unaweza ukaishi na watu vizuri ila negative impacts hazikosekani.
Mie humu mwisho urafiki tu my dear na mme yupo jf nitiwe halafu aone na kusimuliwa nitakua nimemkosea pakubwa mnoooo yani hapa urafiki tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Eva ulitongozwaaa!!UNGEINGIA LINE BEST UNGEJUTAA!Mi nashukuru sijatongozwaa wala kuambiwa ujinga ujinga hata kidogoo!
Nishtue basi maanake kuna mkaka humu namfukuzia isije kuwa ni yeye!
ha ha ha ha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nashukuru jamani.[emoji23] [emoji23] [emoji23] sio wewee
[emoji32] [emoji32] [emoji32] [emoji32] [emoji32]Mfate pm baby doll
Weee acha kabisa bhn hapa nimevizia ujue ila ndo hivyo nalinda heshima ya shemela sema ubuyu umenijaa hapa kifuani hasa yule LS huwa namtamani yule na id ya kama mojaaa khaaaa ni balaaaa
Yupii!halafu hukuwahi nijibu pm ujue demmis!huyo wako simjuiWeee acha kabisa bhn hapa nimevizia ujue ila ndo hivyo nalinda heshima ya shemela sema ubuyu umenijaa hapa kifuani hasa yule LS huwa namtamani yule na id ya kama mojaaa khaaaa ni balaaaa