Wanaume wa JamiiForums nawajibu kwa nini tunawafungia PM na wengine hatuwajibu

Wanaume wa JamiiForums nawajibu kwa nini tunawafungia PM na wengine hatuwajibu

Kumbeez ndio mana ulikuwa huonekani humu umekatazwa
Weee acha kabisa bhn hapa nimevizia ujue ila ndo hivyo nalinda heshima ya shemela sema ubuyu umenijaa hapa kifuani hasa yule LS huwa namtamani yule na id ya kama mojaaa khaaaa ni balaaaa
 
Tumekutana na positive impacts humu humu,
Biashara, elimu na hata mahusiano
Haya mengineyo ni matokeo tu yasiyotarajiwa kutokana na utofauti wa watu.

Hata mitaani unaweza ukaishi na watu vizuri ila negative impacts hazikosekani.
Nakaziaa
 
Nakazia

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Eva ulitongozwaaa!!UNGEINGIA LINE BEST UNGEJUTAA!Mi nashukuru sijatongozwaa wala kuambiwa ujinga ujinga hata kidogoo!
Mie humu mwisho urafiki tu my dear na mme yupo jf nitiwe halafu aone na kusimuliwa nitakua nimemkosea pakubwa mnoooo yani hapa urafiki tu
 
Vizuri unalifahamu hilo ndg yangu sitakagi ujinga kabisa yaani kukaa na kitu moyoni kinaniuma hapana jamani nitapasuka
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nakujua hucheleweshagi wewee!!!
 
Ushauri wa bure kwenu nawapa, akili za wanaume zimetofautiana sana, usimwamini yeyote hata aje na lugha za mbinguni nzima nzima bila kuedit, ukajisahsu kuwa ndo wale wale ukaanza kujilegeza na kumtumia picha ambazo zitakushushia hadhi siku akiziweka kwa public, mengine fanyeni ila ysmatajayokushushia heshima usikubali.
 
LS ndio nani tena mm code zinanishinda jamani woiiii
Weee acha kabisa bhn hapa nimevizia ujue ila ndo hivyo nalinda heshima ya shemela sema ubuyu umenijaa hapa kifuani hasa yule LS huwa namtamani yule na id ya kama mojaaa khaaaa ni balaaaa
 
Weee acha kabisa bhn hapa nimevizia ujue ila ndo hivyo nalinda heshima ya shemela sema ubuyu umenijaa hapa kifuani hasa yule LS huwa namtamani yule na id ya kama mojaaa khaaaa ni balaaaa
Yupii!halafu hukuwahi nijibu pm ujue demmis!huyo wako simjui
 
Back
Top Bottom