Wanaume wa JamiiForums nawajibu kwa nini tunawafungia PM na wengine hatuwajibu

Wanaume wa JamiiForums nawajibu kwa nini tunawafungia PM na wengine hatuwajibu

ameenda nazo huku anazihesabu asiruke hata moja.

maana unaweza kuwa umetajwa wewe page ya nyuma ya mbele ukawa unajichekelesha tu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Yanahamasishaga mapicha ya hivyo wewe mkitumiana na babe acha kabisa.... Sema huku sijawahi kuwa na babe so mwenye picha ya papa hamna labda watume sura langu baya kama babu yangu... Mimi nini sasa??

Eti sura lako baya teh teh teh!

Lione kwanza.....jeusi kama kamera!


Ila uongo mbaya jamani....wachuchu weusi ni watamu kama tende!
 
Mmh mzee baba hizi sifa hizi usitake mzee wa mbuzi anitoe kule kwa gallery yake mie na kichwa changu kama nyanya chungu, ahsante kwa salamu sijambo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
SIJUI KWANN!!
but sijawahi kuona pm ni tatizo.
ever since!!
I think Aina ya watu nawaandikia au naandikiwa!!
Ninakaribia muongo humu!!
Sijawahi kuwa offended pm!!
NA sitegemei TU.
Ahsante!!!
 
Hivi umejibu pm yangu?
Ngoja nicheki
SIJUI KWANN!!
but sijawahi kuona pm ni tatizo.
ever since!!
I think Aina ya watu nawaandikia au naandikiwa!!
Ninakaribia muongo humu!!
Sijawahi kuwa offended pm!!
NA sitegemei TU.
 
Back
Top Bottom