Unatumia mtandao unaoamsha hisia za watuTigooooooo!!!!
Nimemjibu bhana naachaje kumjibu kwa mfano tuu.Anasema alikutumia ujumbe pm juzi ukamkaushia kama humjui vile .
Amepigwa permanet ban tena.
Sasa nakujibu vipi!?.. Ninyime tu aseh!.shikamoo brother
Unataka uendeshe moyo wangu au kitu gani?Daah Mzigua90 mi niwe dereva wako tu. Huyu jamaa kanasa?
Hivi ni kweli humu kuna couples kabisa....Acha umaraya mscheeww Cc Inna
Ile passo ndo zile kama mfupa ule ambao hata ukimwagia mchuzi mbwa halambi jinsi ilivyochoka
Uje uoe basi sio umtumie tu ndugu yetuhahaaa watoto wa kitanga mnamakusudi mnoo nyie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ushamtight pm? Mbona kapotea
Ninja Lugola mtu mbaya ushafanya yako
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umeniweza...Unataka uendeshe moyo wangu au kitu gani?
Hivi kumbe eeeh. Sikujua kama Wick ni @Palantir
Sawaaaaa. Uje na hela ya lunch sasa.mtoto ", maUa " nitakuja Pm
Nakuripoti kwa dada yako!...duuuhh jamaa una phd ya mtongozo" naona unapiga miguu yote tu kama cristiano