Wanaume wa JamiiForums nawajibu kwa nini tunawafungia PM na wengine hatuwajibu

Wanaume wa JamiiForums nawajibu kwa nini tunawafungia PM na wengine hatuwajibu

duuuhh hehee"" kwahiyo mimi mwenye upendo full charge' then' nimekwenda ""kununua power ''bank kabisa ili kuudhibiti" usishuke" UTANISAIDIAJE "?
Wick Castr
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Wewe pendo lako ni kubwa zaidi kwa kweli
 
hahaaa ati kaza hapo hapo" ... Wick mtu hatari sana " kaitumia ile acc yake ya @palantir kuwatafuna dada zetu humu " baada ya kumpa preg dada wawatu kamblock watsaap na kote kote halafu ameanza kuitumia tena hii acc yake ya Wick Castr daaah muwage na kahuruma aisee
Hivi kumbe eeeh. Sikujua kama Wick ni @Palantir
 
Back
Top Bottom