Najibu ya kwanza ya pili ya tatu na zinazofuata najibu ya mwisho kabisa nakuandikia LOL. uje hapo tumefunga maongeziSijibu Mimi pm hizo
Mbwa anaona bora akachume mahindi achome aleIle passo ndo zile kama mfupa ule ambao hata ukimwagia mchuzi mbwa halambi jinsi ilivyochoka
Katika busara huyu mdada yuko vzr ,binafsi huwa namuelewa sana
Nilikosa kazi kisa sijaokoka kumbe ndugu yangu umeokoka!!! Na mapambio unaimba!!!?Nitaimba haleluyah tumsifuu!!
Nitaimba haleluyah tushangilie!.
mapepo yote yamtoke!
Uchawi wote umkome!
hearly ashindwe kung'oa reli ya kuelekea edeni!
gonga like!.
aisehh!!..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]haaahaa halafu kamkula dada yang sasa"" then kampigia miakausho" jamani jamani hata sisi wenyew tunafanyiana hivi " hahaha eti hapo sirudi tena ""!! daahh umenichekesha Sana
Sasa mtu anikute nshavurugwa aniletee hizo niambie zake lazima akatishe mawasiliano.Ndiyo, sasa mtu umetoka ulipotoka unakuja kuanza kumtext mtu unamwambia niambie.
Ningekuwa na cha kusema si ningekutext mwenyew
Wanaume wenye sura mbaya tuna tabu sana!..
Futa kwanza tatoo ya jina la Ex wako mkononi njoo tena!..Nilikosa kazi kisa sijaokoka kumbe ndugu yangu umeokoka!!! Na mapambio unaimba!!!?
ningekuomba uniandikie barua igongwe mhuri wa kanisa lenu tule maisha
Mambo yetu kama weziWanaume wenye sura mbaya tuna tabu sana!..
Hahaha maombi hayakufifisha uwezo wa kukokota mpira wa jamaaFuta kwanza tatoo ya jina la Ex wako mkononi njoo tena!..
Kanisani kwetu wanaogopa sana watu kama nyie!.. Kuna mmoja alikuja tukamuombea na mitatuu yake akatuibia mtoto wa mchungaji!..
Sasa hivi binti ana michoro kama kitenge!.
Ewaa tunakua nyuma nyuma tusionekane!..Mambo yetu kama wezi
Zitakuwepo sema zitakua zinachitiaba balaa [emoji23][emoji23]Hivi ni kweli humu kuna couples kabisa....