Wanaume wa JamiiForums nawajibu kwa nini tunawafungia PM na wengine hatuwajibu

Wanaume wa JamiiForums nawajibu kwa nini tunawafungia PM na wengine hatuwajibu

Nitaimba haleluyah tumsifuu!!
Nitaimba haleluyah tushangilie!.
mapepo yote yamtoke!
Uchawi wote umkome!
hearly ashindwe kung'oa reli ya kuelekea edeni!
gonga like!.
Nilikosa kazi kisa sijaokoka kumbe ndugu yangu umeokoka!!! Na mapambio unaimba!!!?
ningekuomba uniandikie barua igongwe mhuri wa kanisa lenu tule maisha
 
hahaaa ati kaza hapo hapo" ... Wick mtu hatari sana " kaitumia ile acc yake ya @palantir kuwatafuna dada zetu humu " baada ya kumpa preg dada wawatu kamblock watsaap na kote kote halafu ameanza kuitumia tena hii acc yake ya Wick Castr daaah muwage na kahuruma aisee
aisehh!!..
anayeuza radi za express aniPM nina shida nazo 3 za haraka!
 
haaahaa halafu kamkula dada yang sasa"" then kampigia miakausho" jamani jamani hata sisi wenyew tunafanyiana hivi " hahaha eti hapo sirudi tena ""!! daahh umenichekesha Sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nilikosa kazi kisa sijaokoka kumbe ndugu yangu umeokoka!!! Na mapambio unaimba!!!?
ningekuomba uniandikie barua igongwe mhuri wa kanisa lenu tule maisha
Futa kwanza tatoo ya jina la Ex wako mkononi njoo tena!..
Kanisani kwetu wanaogopa sana watu kama nyie!.. Kuna mmoja alikuja tukamuombea na mitatuu yake akatuibia mtoto wa mchungaji!..
Sasa hivi binti ana michoro kama kitenge!.
 
Hahaha maombi hayakufifisha uwezo wa kukokota mpira wa jamaa
 
Back
Top Bottom