nyatu nyatu duuuhgh
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]Futa kwanza tatoo ya jina la Ex wako mkononi njoo tena!..
Kanisani kwetu wanaogopa sana watu kama nyie!.. Kuna mmoja alikuja tukamuombea na mitatuu yake akatuibia mtoto wa mchungaji!..
Sasa hivi binti ana michoro kama kitenge!.
dada yangu umempa mimba hata hamu nawewe hanaNakuripoti kwa dada yako!...
Sema hii drone nimeielewa sana. Nchi za kiafrica inaweza tumia hiyo kufukuza kina Kabila sio lazima mtutu.hahahaa mwenzio kule Venezuela " wamemyangushia drone " wewe nitafute tu
mhh nazimiaHaporwi mtu jamani.
Kama siyo hensam ila nna six packs chansi zangu ni asilimia ngapi?[emoji23] [emoji23] [emoji23] mwanaume muamala tuu!!yaani Mimi kwanza ukiwa hensam sijui au na six pack walaaa hunioni wenye sura ngumu ndo nawapendaa
Bila shaka umemwambia mtu nambie huko PM mmbo yakaharibika!..hahaaa
Me hata mkiwa 10 ntakwambia wewe tu, kwamba ni wa 11 lakini wa 1 kwa sasa!.. Sikatai mie!.🙂Najua anakusingizia kweli hizo za nini sijui ni uzushi anataka kuharibu CV yako safi iliyotukuka
Negative kabisaa!!!Kama siyo hensam ila nna six packs chansi zangu ni asilimia ngapi?
View attachment 827678
NB: Miamala tuwaachie wafanyakazi wa Tigo
kwahiyo unataka nikuendee congo, dreamliner litakuhusu lile ohoo!!..hahahaa mwenzio kule Venezuela " wamemyangushia drone " wewe nitafute tu
Tafuta kwanza dera transparent, nawajua waumini wetu!.Na kitengo cha sadaka mnipe ndo nimuombee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mhh nazimia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Me hata mkiwa 10 ntakwambia wewe tu, kwamba ni wa 11 lakini wa 1 kwa sasa!.. Sikatai mie!.🙂
samahani kalaba ulitaka sema lile neno jingine!?.. unatafuta ugomvi?.. nimuite?.hahaa nimekupa like bwana wake mchawi kalaba
tafuta namba ya Mpesa agent fastaaa!!!...[emoji23] [emoji23] [emoji23] mwanaume muamala tuu!!yaani Mimi kwanza ukiwa hensam sijui au na six pack walaaa hunioni wenye sura ngumu ndo nawapendaa
teh teh umenichekesha sana mkuu, unamkemea amekuwa shetani?Eeeh Mungu nisaidie nisi comment kwenye huu uzi .
Ila ngoja kwanza .
Mimi nikiona mtu kani pm siku hizi nakemea kabisa.
Nina hasira na wewe!.. sijui nikuweke Ignore list!..labda kama iwe umemuomba JamiiForums akusaidie kuzifuta maana last time nakumbuka ulinionyesha zilikuwa zinasoma 5000k
Unafanya nini hapo!?..🙂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Inakera kama nini
Hahaha am outNegative kabisaa!!!
Usione vyaelea vimeundwaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]