Wanaume wa JamiiForums nawajibu kwa nini tunawafungia PM na wengine hatuwajibu

Wanaume wa JamiiForums nawajibu kwa nini tunawafungia PM na wengine hatuwajibu

Futa kwanza tatoo ya jina la Ex wako mkononi njoo tena!..
Kanisani kwetu wanaogopa sana watu kama nyie!.. Kuna mmoja alikuja tukamuombea na mitatuu yake akatuibia mtoto wa mchungaji!..
Sasa hivi binti ana michoro kama kitenge!.
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]

Michoro kama kitenge!!nimecheka sana
 
hahahaa mwenzio kule Venezuela " wamemyangushia drone " wewe nitafute tu
Sema hii drone nimeielewa sana. Nchi za kiafrica inaweza tumia hiyo kufukuza kina Kabila sio lazima mtutu.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mwanaume muamala tuu!!yaani Mimi kwanza ukiwa hensam sijui au na six pack walaaa hunioni wenye sura ngumu ndo nawapendaa
Kama siyo hensam ila nna six packs chansi zangu ni asilimia ngapi?

images.jpg


NB: Miamala tuwaachie wafanyakazi wa Tigo
 
Back
Top Bottom