MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kasoro mimi tu hivo vitu similiki..Jf weng wana magari,nyumba nzri,pesa mingi,wazuri wao eeeeeehn huk kutamu ukishaelewa unaenda vile unavyotaka
Sio wote wanajitambua katika akili wengne makubwa jinga kuwa makini
Na mimi nakuja mie ndo mada zangu hasa hizo vipi unanikaribisha?
Haaaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hili chaka kubwa wanawake wa humu wanababaika kwa post tamu za watu ila uhalisia wa mtu na maarifa itachukua century kuujua hapo ndio tatizo lillipo yakishatokea wanakuja kulalamika humu.heshima ni ngumu kuitambua kwa maandikoKasoro mimi tu hivo vitu similiki..
Mh haya napitamkuu utajibu lini pm yangu?
Hapana unanihukumu tofauti,.. Ulishawahi kuniona kuja kuanzisha mada inayohusiana na pm hapa?We mzee wa mathread tutakayoongea pm huko si utakuja kuanzisha thread kitu kidogo thread
Pole mama... Ndohivo wengine ustarabu kwao ni msamiatiHapo kwenye kuwajua watu hapo yaani hapo hapo yamenikuta mm mtu unakutana nae jukwaani anakwambia shunie nakujua ww khee umenijuaje kumbe kuna pugi anasambaza picha zangu
We kaka endelea tu kusambaza picha zangu sawa eenh hivi unalipwa kwa mfano ukisambaza picha za mtu haya unanisambazia picha zangu ndio kwanza wananisifia hawanipondi kama ulitaka waniponde imekula kwako na uendelee vizuri kusambaza picha zangu mfyuuuuuu zako
Nitarudi
honey nishike mkonoMh haya napita
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
ulikuja na mimi? Kila mtu alikuja peke yake kila mtu arudi peke yakehoney nishike mkono
nitakufata hata kwa nyuma darlingulikuja na mimi? Kila mtu alikuja peke yake kila mtu arudi peke yake
sitaki kufuatwanitakufata hata kwa nyuma darling
Namshauri huyo anayesambaza picha zako aache utoto.Hapo kwenye kuwajua watu hapo yaani hapo hapo yamenikuta mm mtu unakutana nae jukwaani anakwambia shunie nakujua ww khee umenijuaje kumbe kuna pugi anasambaza picha zangu
We kaka endelea tu kusambaza picha zangu sawa eenh hivi unalipwa kwa mfano ukisambaza picha za mtu haya unanisambazia picha zangu ndio kwanza wananisifia hawanipondi kama ulitaka waniponde imekula kwako na uendelee vizuri kusambaza picha zangu mfyuuuuuu zako
Nitarudi