Na mimi nianze fitina ?! Si unataka tutandikane fitina wenyewe kwa wenyewe!!! Eti Hornet, hivi... dah, basi bhana, asije jamaa aka-mind!Mambo poa,
Nimekumiss pia Malcom Lumumba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na mimi nianze fitina ?! Si unataka tutandikane fitina wenyewe kwa wenyewe!!! Eti Hornet, hivi... dah, basi bhana, asije jamaa aka-mind!Mambo poa,
Nimekumiss pia Malcom Lumumba
Mkuu Malcom Lumumba, Hornet ndo keshatoa green light huku! Umekuta napiga msosi na dada Shunie, ukasukuma bakuli la mboga...! Sa' je, nikimbie na sinia la ugali kabisa hapa? Manake nikiishia kumwaga tu, mliomisiana mnaweza kuuokota na kuendelea kuula!Kuwa huru.
Kwani shunie picha zako halisi humu jf unaziweka kweli? Pia huyu raynevo c shoga ?Hapo kwenye kuwajua watu hapo yaani hapo hapo yamenikuta mm mtu unakutana nae jukwaani anakwambia shunie nakujua ww khee umenijuaje kumbe kuna pugi anasambaza picha zangu
We kaka endelea tu kusambaza picha zangu sawa eenh hivi unalipwa kwa mfano ukisambaza picha za mtu haya unanisambazia picha zangu ndio kwanza wananisifia hawanipondi kama ulitaka waniponde imekula kwako na uendelee vizuri kusambaza picha zangu mfyuuuuuu zako
Nitarudi
Unajua nakupendea acha mbwe mbwe wewe kama mbu alyekunywa damu yenye sodaAkuuu!nshapendwaaa tayarii
Nakupenda kikoment mama sio ki avatarAkuuu!nshapendwaaa tayarii
Mamaaaaaa!!! Kumbe haya majungu kwa dadangu umeanza kuyamwaga zamani... dah!! We wala sio mtu! Yaani mi kusema tuanzishe Chama Cha Wapiga Fitina JF, hizo fitina ndo umeamua kuanzia kwangu!!!Anhaaaaaa, kaka binamu au ???
Mh kuziwekaje tena hapana rayna wa kike umemchanganya na ray nani sijuiKwani shunie picha zako halisi humu jf unaziweka kweli? Pia huyu raynevo c shoga ?
Haswaaa dada Shunie, lakini dawa ya wafitinishi ni bora nimwambie kabisa huyu Malcom Lumumba kwamba wewe ni dadangu mpendwa, baba yangu na mama yako ni mtu na sista ake!!!Hhahahaha kaka kaka eti kaka chige we si kaka angu
Kaka binamu eenh kaka chigeHaswaaa dada Shunie, lakini dawa ya wafitinishi ni bora nimwambie kabisa huyu Malcom Lumumba kwamba wewe ni dadangu mpendwa, baba yangu na mama yako ni mtu na sista ake!!!
Mamaaaaaa!!! Kumbe haya majungu kwa dadangu umeanza kuyamwaga zamani... dah!! We wala sio mtu! Yaani mi kusema tuanzishe Chama Cha Wapiga Fitina JF, hizo fitina ndo umeamua kuanzia kwangu!!!
Dada, Shunie, achana na Malcom, huyu kijana ana nia ovu!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kakufananisha na ray wakuacheShogaaa una maanisha punga au?!![emoji2] [emoji2]
Hapana nimefurahi
Hahahaa! Ila wallah tena, yaani hii ID ya Raynavero ni juzi tu hapa ndipo nikaja jua ni tofauti na yule mtoto wa watu!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kakufananisha na ray wakuache
Baba swalehe negative a half package full of brestering