Wanaume wa JamiiForums nawajibu kwa nini tunawafungia PM na wengine hatuwajibu

Wanaume wa JamiiForums nawajibu kwa nini tunawafungia PM na wengine hatuwajibu

Jamii Forums ni kama msitu mnene wenye kila aina ya wanyama!

Humu ndani kuna watu wako very intelligent, humble, charming and caring.

Pia kuna watu wajinga kwa kiwango cha standard gauge, wanafki, mapoyoyo na wasiojielewa kabisa.

Kwa kifupi tu, JF ni kama hotel menu, you get served what you asked for!

Ukiwa mtu wa hovyo hovyo lazima ufuatwe na watu wa hovyo hovyo. Na ukiwa smart, lazima utajihusisha na watu smart. Ni rahisi sana kumfahamu mtu mpuuzi.

Njia pekee ya kuwaweka wapuuzi mbali ni kumaintain standards zako. Hakikisha kila unachoandika kinatoka kwenye akili ya mtu anaejielewa.

Sasa mtu anaanzisha thread eti njia za kuchepuka bila kukamatwa, unafikiri ni watu wa aina gani watakaotembelea PM yake mara kwa mara?

Acha niwambie kitu dada zangu, hawa mnaowaita MaPUGI hua wanajua aina ya watu wa kuwafuatilia wanaofanana na uPUGI wao. Chui hawezi kumuwinda simba wakati anajua uwezo wake unaishia kwa swala na nyumbu!

So here is a hint, keep higher standards and be classy!

[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Maneno nimeyaelewa sana
 
Sio wewe mm alishawahigi kunitukana hapa chit chat ni ana mdomo mchafu sana toka siku huyo nimemuweka kwenye ignore list yangu nashangaa anapenda kuniquote quote leo nimempa taarifa ajue kabisa yaani sitaki aniquote
Sasa Mimi sijui nimemkosea nini!yaani!
Kaah
 
Back
Top Bottom