Wanaume wa JamiiForums nawajibu kwa nini tunawafungia PM na wengine hatuwajibu

Wanaume wa JamiiForums nawajibu kwa nini tunawafungia PM na wengine hatuwajibu

Wenzio wanadanganywaga na avatar wanajua ndo sisi. Wakifika wanakuta vitu viwili TOFAUTI kabisa wanaishia kusonya [emoji23]
Kibaya zaidi, ushavuta hisia zako sauti na sura take unamfananisha na MTU wa mbele huko
Unajipodoooa mwenyewe ili ufanane na yule dem muigizaji wa kibrazil,kufika tu unakata tamaa kama vile kitunguumaji kikiwa juani
 
Mkuu ulipaswa kuwa tag hawa dada zetu wenye tabia za hovyo!!

Mtu muda wote ni kuandika upuuzi unaategemea PM zake zitakuwa na watu watu wa maana?

Mleta mada na wahuni wenzie huwezi ona mada walizo changia zina mantiki, zaidi ya upupu.

Binafsi amejidhihirisha jinsi alivyoo!!!
Mtu kutoa mawazo yake ni akili ya hovyo mkuu? Wote tungekua smart darasani kusingekua na wa mwisho. Hata saa mbovu kuna muda inasoma sahihi. Usimdharau mtu kwa jambo unaloona kwako halikuhusu. Kwa akili ya Mtoa mada hawezi kutoa kitu kwa kutunga tu au kujisikia lazima anajua kuna kitu kama hicho kipo na kimemkuta kama sio yeye mtu wa karibu. Tujifunze kuheshimu mawazo ya mwingine hata kama tunapingana nayo.
 
Mkuu muhudumu asinisahau na mm
Ukiwa na stress zako ingia jf dawa tosha kabisa. Ahsantee mello kwa jukwaaa hili mhudumu ongeza kama tulivyo mwite wa jikon kilo tatu mbuzi katoliki plipili usisahau na kachumbar ya matango. Karibu wadau[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wewe kwa mdomo wako ungekuwa na picha yangu ungeshaongea mm sijamtumia mtu picha huyo pugi alikuwa anaiba kwa dp WhatsApp we kaka ulaaniwe mfyuu zako unajifanya wa heshima dada sijui nini dada
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jamaniii!!!tunakoma mbonaaa!!kuibiwa dp
 
Naishukuru jf imenifanya nifahamiane na watu ambao wamekuwa msaada mkubwa sana kwangu, na sijutii.

NB; jf ni kama mtaani tu, tupo wa kila aina humu, cha msingi ni kupuuzia tu yale/wale wanaokukwaza.
 
Ukiwa na stress zako ingia jf dawa tosha kabisa. Ahsantee mello kwa jukwaaa hili mhudumu ongeza kama tulivyo mwite wa jikon kilo tatu mbuzi katoliki plipili usisahau na kachumbar ya matango. Karibu wadau[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Nirushie nauli nije jamani
 
Back
Top Bottom