Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ninachoomba tujifunze kama binadamu kufilter nini cha kuongea na wapi. Kwa mfano mmetoka na mtu humu iwe dinner au club au wapi yanayotendeka yaishie humo. Sio jambo baya hata kujuana na member wote humu ila ukionana nao yaishie huko mlichoongea mlichofanya au chochote kile. Kubeba kitu ukakirudisha kwa mtu ambae mlimuongelea sio fresh ni kaunafki fulani.
Kuna watu wanaandika vizuri sana kwenye majukwaa ila hawana siri kwa wanaokutana nao nje ya jukwaa. Hata kama mmekutana kituoni atamtafuta member mwingine huku amwambie jana nilikua na mzigua kituoni morocco ikawa hiki ikawa kile. Hiyo sio poa maana hao wanaoambiwa nao wanarudisha tena. Watu wazima sisi tutendee haki miaka yetu kwa vitendo kwenye majukwaa pm na mtaani ikitokea. Mnatuaminisha na miandiko ya adabu mtu unajua amepata rafiki kumbe mtu mmbea bwana
Umeongea vzr sanaa sana!haihusu Mimi na wewe kujuana au kuonana ukaanza kumhadithia Don au shunie!!!
Na mkikutana hata km mmemsema mtu yaishie humo haina haja ya kuanza kumtafuta na kumuambia kua tulikusema!
Tuitendee haki miaka yetuuu!!!hapa nimepaelewa sana!
Mtu mzima akili kisodaaaa
Kweli kabisa.
Wewe nicheke tyuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
yaani tunawaweka kwenye list mkiwa loose loose tunawarecommend sehemu tunawakamata jolie jolie akilegeza kamba tu unawekwa sehemu we si unaona full package mlivyowachache humuHahahahaha aiseee
Nakusalimu best[emoji4]Yaan Nokia wewe ni machuchu tu [emoji3]
Nakusalimu best[emoji4]
Vipi nikaribieee[emoji91]Maneno nimeyaelewa sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wewe kwa mdomo wako ungekuwa na picha yangu ungeshaongea mm sijamtumia mtu picha huyo pugi alikuwa anaiba kwa dp WhatsApp we kaka ulaaniwe mfyuu zako unajifanya wa heshima dada sijui nini dada
MKUU USISEME HIVYOYaani mpaka usikie nimejitia kitanzi ndo uamini kwamba nataka nije pm?
Hahahahaa. PoleeWewe nicheke tyuu
Safi mkuu! Nipo aisee, ila huu mwaka mnatukaanga si mchuzi kabisa[emoji3][emoji3][emoji3]Sijambo mkuu za wewe upoo
Ww ndio picha zako 3 ninazo siku nyingi hata kabla mwendokasi haijaanza
Safi mkuu! Nipo aisee, ila huu mwaka mnatukaanga si mchuzi kabisa[emoji3][emoji3][emoji3]
Wewe nicheke tyuu
Wewe nicheke tyuu
Lakini pia kukaa sana kijiweni matokeo yake unaanza kukosana na washkaji. Hiki kimeshakuwa kijiwe, kadri unavyotumia mda wako mwingi humu unakutana na watu wa kila namna.
Tumia akili yako kuishi nao, spend your time wisely.
Ndo umeamua kunipiga chini mazima?Hahahahaa. Polee