Wanaume wa JamiiForums nawajibu kwa nini tunawafungia PM na wengine hatuwajibu

Wanaume wa JamiiForums nawajibu kwa nini tunawafungia PM na wengine hatuwajibu

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mfyuuuuu
Safi sana mmestuka kuwa wanaojifanya innocent wengi ni matapeli na wanazuga ni wakarimu ili muwaamini kirahisi
Antonio bwanaaa!!hahahaaaa!shunie anajuta kuwajua
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] naona akili zimejanjaruka sasa maana sisi tusio na miandiko mizuri na ushauri mzuri kashapiga kufuli la mjerumani hatutaki
Taratibu tu dawa inaingia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] na funguo katupa katikati ya baharii!!ishakula kwenu!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] ngoja apambane na mapugi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mapugi yanamkomeshaa!!
 
Hapo kwenye kuwajua watu hapo yaani hapo hapo yamenikuta mm mtu unakutana nae jukwaani anakwambia shunie nakujua ww khee umenijuaje kumbe kuna pugi anasambaza picha zangu

We kaka endelea tu kusambaza picha zangu sawa eenh hivi unalipwa kwa mfano ukisambaza picha za mtu haya unanisambazia picha zangu ndio kwanza wananisifia hawanipondi kama ulitaka waniponde imekula kwako na uendelee vizuri kusambaza picha zangu mfyuuuuuu zako

Nitarudi
Hili povu liwafikie all pugies behind keyboards
 
Back
Top Bottom