Wanaume wa JF hamcheleweshi, mnatongoza hovyo kila mnayemwona!

Wengi wenu hamjui kutongoza. Yaani mtu anakuja pm anaongea upuuzi na kulazimisha mahusiano. Hatuendi hivyoo
Khaaah,
Mmekuwa wagumu saana zamani ilikuwa hata kalike tu unaelewa somo.

Sasa nyie mnataka tuwaingilie kwa gia gani. Haya tu nyie
 
Hivi VIPUSA vikoje , maana navisikia tu kwenye media

Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
 
Sijawahi kuona wanawake wanaodeka kama hawa wa kwetu hapa.

Hapa ndiyo wamegoma. Nilienda FB kwa week tu watoto hawana shida... hawa wa kwetu sasa! !

Wadada njooni tutete uzi huu hautii mimba.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜±πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…