Wanaume wa JF hamcheleweshi, mnatongoza hovyo kila mnayemwona!

Wanaume wa JF hamcheleweshi, mnatongoza hovyo kila mnayemwona!

Dada zetu tunashida wote humu ndani, tunataniana humu ndani sasa tusipowatongoza nyie tutamtongoza nani? Mnataka tushinde humu ila tutongoze FB na badoo? Nyie mtatongozwa na nani sasa si vizuri hivyo bwana, Mtukubalie.

Tunawapenda saana ndiyo maana. Mtu akikutongoza jua kakupenda eti na unapaswa kumkaribisha PM kwa mbwembwe zote.

Mnataka tuwape nini sisi zaidi ya mitongozo iliyotukuka(Gentamcyne)?na wewe uliyenambia haya walai sikuachi nitakuja na ID mpya tu.

"Wanaume wa JF ndivyo mlivyo" sio hivyo sisi tunajua kuwapenda ni woga wenu tu. Nyie tuacheni tuplay role yetu ya kuwa Seduce maana tushakuwa vipusa.

Tuzidi kumwombea Lisu.
Umeshindwa kutafuta hela..halaf unaandika ishu ya lissu kwenye rubbish kama hii.????

Jitambue dogo acha kiki za kitoto
 
Wengi wenu hamjui kutongoza. Yaani mtu anakuja pm anaongea upuuzi na kulazimisha mahusiano. Hatuendi hivyoo
Hahahaaaaa!!
Waliambiwa wajifunze kutongoza.
 
Weeeee Daby wewe acha uongo Mungu anakuona ujuee....sijawahi ona hata pm yako ya salamu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Basi leo nitakuja..

Niandalie mazingira mazuri nisihangaike saana maana nimezeeka nimeishiwa swagga.
 
Back
Top Bottom