Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si mpaka!!Ha ha ha mwambie na yeye akae mbali na matunzo yangu
Ndo maana mama Getrude kawaambia hawajui kutongoza. Waende tu shule kwa KweliWengi wenu hamjui kutongoza. Yaani mtu anakuja pm anaongea upuuzi na kulazimisha mahusiano. Hatuendi hivyoo
Oooh! Basi sawa.Ndiyo nilikuwa kwenye mchakato naona Daby analeta vikwazo ngoja nisitishe zoezi
Watu gani hao? Na ungefaidi kweli, ila ndio basi tena!!Bora ningejiroga mkuu, watu wanaona nitafaidi saana yaani
Shule unamaliza lini?Ha ha ha ha sasa kwan uongo mtuache sie wa mikoan na ushamba boi ndio our dream Job.
Ninachokupendea ndio hiko whenever u say no things moving in positive directionSi mpaka!!
Fuatilia hapahapa utawaona mkuu, ni kama wanaona kabisa napita na wewe sasa wanaokoa jahaziWatu gani hao? Na ungefaidi kweli, ila ndio basi tena!!
Narudia Mtihan wa Form two nna miaka miwil mbele kumaliza form fourShule unamaliza lini?
Nitafikiria tena kuingiza timu msimu ujao, kwa sasa ngoja niwape reliefOooh! Basi sawa.
You wish huh!!!Ninachokupendea ndio hiko whenever u say no things moving in positive direction
Kaka zangu hao mkuu.Fuatilia hapahapa utawaona mkuu, ni kama wanaona kabisa napita na wewe sasa wanaokoa jahazi
Kumbe ndio maana!!Narudia Mtihan wa Form two nna miaka miwil mbele kumaliza form four
Haya.Nitafikiria tena kuingiza timu msimu ujao, kwa sasa ngoja niwape relief
ha ha ha ha unaona naish maisha ya kuwish enhee ha ha ha am living kwenye actual worldYou wish huh!!!
Sasa kelele za nin?Kumbe ndio maana!!
[emoji7] [emoji7] karibu mzee mwenzangu...Basi leo nitakuja..
Niandalie mazingira mazuri nisihangaike saana maana nimezeeka nimeishiwa swagga.
Asee una kaka wenye wivu sana, ingekuwa ki mtaa mtaa wangeniundia gang nikipita wani knock. Ila ningebadili njia ningewazidi ujanja tuuKumbe ndio maana!!
Kwa sasa nakua mpenzi mtazamaji, au unashauri vp mkuu?Haya.