Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Hahaa nikae mbali na "bonus"Ha ha ha mwambie na yeye akae mbali na matunzo yangu
Si mpaka!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaa nikae mbali na "bonus"Ha ha ha mwambie na yeye akae mbali na matunzo yangu
Si mpaka!!
Ukimaliza niambie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ncheke mieeee
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha ha embu ongea vzur na mzaz wako naona humfikishii salam zangu vyemaHahaa nikae mbali na "bonus"
Mkuu namaanisha nipo serious!Mkuu unamaanisha ?? Maana naona umelalama kwa kweli
Wengi ni majanga kwa kweli..utoto umewajaa kazi kuomba namba za simu tu, namba zenyewe ukiwapa hawajui matumizi yake.Ndo maana mama Getrude kawaambia hawajui kutongoza. Waende tu shule kwa Kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Hhaha usinikumbushe ule uzi wa kuwasema wakaka wanaoomba namba afu hawakutafutiWengi ni majanga kwa kweli..utoto umewajaa kazi kuomba namba za simu tu, namba zenyewe ukiwapa hawajui matumizi yake.
Sasa nakuelewa mkuu,Hahaha, basi pole chalii yangu.
Yote niliyoandika ni sehemu ya kuchit-chat tu and it means nothing.
Teh yaani wanaomba namba tuuu, mtu hamjajenga urafiki unaanzaje kumpa namba? Wapunguze papara!Hhaha usinikumbushe ule uzi wa kuwasema wakaka wanaoomba namba afu hawakutafuti
Hata kichaa huwa anaona watu wengine ndio vichaa.ha ha ha ha unaona naish maisha ya kuwish enhee ha ha ha am living kwenye actual world
Kumbe unapiga kelele eeh!!Sasa kelele za nin?
Hawana wivu ila ni mabazazi.Asee una kaka wenye wivu sana, ingekuwa ki mtaa mtaa wangeniundia gang nikipita wani knock. Ila ningebadili njia ningewazidi ujanja tuu
Mie sina ushauri mkuu.Kwa sasa nakua mpenzi mtazamaji, au unashauri vp mkuu?
Mrembo kala ban kwa sasa.Sina hiana aseeh mrembo ni nani vile?
Mkuu ya kweli haya, kaka hawezi kuwa bazazi wanakupenda dada yaoHawana wivu ila ni mabazazi.