Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
namuangalia tu mie sitii nenoNinja unajileta kwa shushushu?
Shemeji yupo njiani anakuja
hahahahahah nimefurahia chululuuuNa usitie maana utaishia kumn'goa meno kama sio chululu
Hilo jina watu wa kanda zingine hawawezi kulijua... hata stun sidhani kama anajua maana yake.hahahahahah nimefurahia chululuuu
umenikumbusha mbali mkuu
hiyo chululuu siwezi ingoa maana nitabaki nalia kila siku baada ya hasira kuisha
teh teh
nitamweleza baadae na wasilijue tu maana chululuu ni kitu ingine bhanaHilo jina watu wa kanda zingine hawawezi kulijua... hata stun sidhani kama anajua maana yake.
usicheke shem ndo ukweli huo[emoji3][emoji3]
Siku zote huwa hivyo, ni vile haujui tu.Pale mtetea anapompangia jogoo namna ya kumkimbiza.
naona unampenda sana x jaman shem loooh inapendeza sanaNinja kuna ishu sikukuelewa... husna ex wangu walimfanya nini?
bora usifunge kabisaImebidi tu...
Yangu macho mimi.
hurusiwi kuchabo sana ujue wewe ni shemelaNa kila muda ntakuwa nawa-search niangalie updates [emoji4]
asante byeeee[emoji119][emoji119][emoji125] [emoji125]