Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wengi wenu hamjui kutongoza. Yaani mtu anakuja pm anaongea upuuzi na kulazimisha mahusiano. Hatuendi hivyooMnatuambia tunatongoza saana na misemo kama wanaume wa JF ndivyo tulivyo.
Khaaah,Wengi wenu hamjui kutongoza. Yaani mtu anakuja pm anaongea upuuzi na kulazimisha mahusiano. Hatuendi hivyoo
kwani humu wanawake wanaonekana????Humu.
Hapa atakuja kujibu Mama SabrinaHivi VIPUSA vikoje , maana navisikia tu kwenye media
Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
duhWanaonekana kama navyomuona radicals
😀😀😀😀😱😀😀😀😀Sijawahi kuona wanawake wanaodeka kama hawa wa kwetu hapa.
Hapa ndiyo wamegoma. Nilienda FB kwa week tu watoto hawana shida... hawa wa kwetu sasa! !
Wadada njooni tutete uzi huu hautii mimba.
hakuna boya kama mwanaume asiyekuwa na pesa
Yuko wapi huyo ?Hapa atakuja kujibu Mama Sabrina
Ok mkuuShe'll be in. ....soon
Eeeh bado inapatikana, tuma assist basiSi unajua dada anapewaje hela na kaka yake enhee ngoja nmtafute wa kula nae pesa za ushind wangu wa week hii
Heaven Sent upo mrembo wangu bado unatumia namba ile ile ya TTCL ya mezan enhee?
Unaonaje mkuu ukiwa mshengaAseeh kila la kheri