Umeshindwa kutafuta hela..halaf unaandika ishu ya lissu kwenye rubbish kama hii.????Dada zetu tunashida wote humu ndani, tunataniana humu ndani sasa tusipowatongoza nyie tutamtongoza nani? Mnataka tushinde humu ila tutongoze FB na badoo? Nyie mtatongozwa na nani sasa si vizuri hivyo bwana, Mtukubalie.
Tunawapenda saana ndiyo maana. Mtu akikutongoza jua kakupenda eti na unapaswa kumkaribisha PM kwa mbwembwe zote.
Mnataka tuwape nini sisi zaidi ya mitongozo iliyotukuka(Gentamcyne)?na wewe uliyenambia haya walai sikuachi nitakuja na ID mpya tu.
"Wanaume wa JF ndivyo mlivyo" sio hivyo sisi tunajua kuwapenda ni woga wenu tu. Nyie tuacheni tuplay role yetu ya kuwa Seduce maana tushakuwa vipusa.
Tuzidi kumwombea Lisu.
Hahahaaaaa!!Wengi wenu hamjui kutongoza. Yaani mtu anakuja pm anaongea upuuzi na kulazimisha mahusiano. Hatuendi hivyoo
Yatakushindaaaaaaaaa
Hapana, utakula mwenyewe.
Ha ha ha mbona mkali sasa hutak nikumbuke basi nmefuta sjakumbuka wala ninYatakushindaaaaaaaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tunaenda pm nyingi mmezifunga zingine hazijibiwi zingine zikijibiwa ndiyo kama nilivyoambiwa.
Mwisho tunaweka nyuzi za kuwatafuta maana hamuonekani
Weeeee Daby wewe acha uongo Mungu anakuona ujuee....sijawahi ona hata pm yako ya salamu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaani acha tu dota, unawaza tu huyu mtu yupo kwenye mazoezi ya kusalimia!!! Ili kujiepusha na mzigo wa salamu inabidi ukae kimya tu.Haha yani nimecheka kama mazuri jamani, mtu hata haku-seduce kumjibu
Usirudie tena kufanya utoto wa aina hii dogo..Poa brother nitajitambua kaka na pesa nitatafuta bro.
Hahahaaaaa!! Ni kweli kabisa.hakuna boya kama mwanaume asiyekuwa na pesa
Miss Bantu acha zakoYani nimechanganyikiwa uncle, sikujua kama na sisi mabonge ni mamiss