Wanaume wa JF hamcheleweshi, mnatongoza hovyo kila mnayemwona!

Na mimi nitaweka tangazo langu soon.. nione inakuwaje watu waendavyo PM

Eeeeeeeh kushushuliwa namba 1 kama kawa.
 
Wengi ni majanga kwa kweli..utoto umewajaa kazi kuomba namba za simu tu, namba zenyewe ukiwapa hawajui matumizi yake.
Mnakuwa mnajua kbsa kuwa tunawataka sasa kwann
Huwa mnaleta mashauzi?
Ukiona mtu amekupenda mtunuku tu tunda

Mm ndyo maana vitoto vya mapenzi ya baby baby huwa siwezani navyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…