Anakukubali thats why anataka kukukabidhi ATM CARDNdo maana nini?
Ooooh!! Bado naisubiri hiyo ATM card.
Yaani ubembeleze wewe wivu nione mimi!!! [emoji134] [emoji134] [emoji134]Teh
Mbona unapenda kunidekea hivyo lakini au raha yako uone espy na wenzake wanavyoona wivu navyokubembeleza?
Wa kunitosha.
Nakutafuta kweli leoChalii Daby on the making
CantstopwontStop
Ha,haaaa.......na hata mkitoa namba zenu pia hamtafutwi jf rahaAlafu madem wa JF muwe na misimamo... Yaani hela mnataka lakini kutongozwa hamtaki.
na tukiwaomba namba ya simu ili tuwatumie hizo hela mnazozitaka pia hamtupi... sasa tuwaeleweje?
Hebu kuweni na msimamo...
Ni hapa hapa jf au??Katika uwiano wa kutongoza na kufanikiwa kwa utalaam binasfi, nimefanikiwa kwa asilimia 99%, YANI NAMAANISHA, KWA MFANO NIMETONGOZA 10, 2 WALINIBOA, 8 NILIWAPATA, 2 HAWAKUWA CHAGUA LANGU, NIMEWALA 6.
Yaani wacha tu erooooKila la kheri uliko, home ndo hivyo ulivyosikia...mie narudi
Sithubutu, ana vitu adimu si unajua alikotokea? Ndo maana hata akitongoza najifanya sijaona ili nisije lleta ugomvi bure niachwe na mm siko tayari
Aah, somo gumu hili. Nilishindwa kujua zile oDo zako unazipimaje katika tatizo lake?TG wewe unakubaliana naye?
Maneno kuntu haya,haya we naniliu na naniliu fungueni pm zenu walume tukuje kumwaga seraDada zetu tunashida wote humu ndani, tunataniana humu ndani sasa tusipowatongoza nyie tutamtongoza nani? Mnataka tushinde humu ila tutongoze FB na badoo? Nyie mtatongozwa na nani sasa si vizuri hivyo bwana, Mtukubalie.
Tunawapenda saana ndiyo maana. Mtu akikutongoza jua kakupenda eti na unapaswa kumkaribisha PM kwa mbwembwe zote.
Mnataka tuwape nini sisi zaidi ya mitongozo iliyotukuka(Gentamcyne)?na wewe uliyenambia haya walai sikuachi nitakuja na ID mpya tu.
"Wanaume wa JF ndivyo mlivyo" sio hivyo sisi tunajua kuwapenda ni woga wenu tu. Nyie tuacheni tuplay role yetu ya kuwa Seduce maana tushakuwa vipusa.
Tuzidi kumwombea Lisu.
Kipenzi naona tulikuwa tunatafutana, Asante kwa upendo wako.Nakutafuta kweli leo
Ni hapa hapa jf au??
Hahahahhaa hakika ngoja tufanye mazoezNi muda muafaka wanawake wa jf kuanza kutongoza wanaume humu, ondoen uwoga hyo ndo haki sawa sasa