Wanaume wa JF hamcheleweshi, mnatongoza hovyo kila mnayemwona!

Wanaume wa JF hamcheleweshi, mnatongoza hovyo kila mnayemwona!

Teh
Mbona unapenda kunidekea hivyo lakini au raha yako uone espy na wenzake wanavyoona wivu navyokubembeleza?
Yaani ubembeleze wewe wivu nione mimi!!! [emoji134] [emoji134] [emoji134]
 
Alafu madem wa JF muwe na misimamo... Yaani hela mnataka lakini kutongozwa hamtaki.
na tukiwaomba namba ya simu ili tuwatumie hizo hela mnazozitaka pia hamtupi... sasa tuwaeleweje?
Hebu kuweni na msimamo...
Ha,haaaa.......na hata mkitoa namba zenu pia hamtafutwi jf raha
 
Katika uwiano wa kutongoza na kufanikiwa kwa utalaam binasfi, nimefanikiwa kwa asilimia 99%, YANI NAMAANISHA, KWA MFANO NIMETONGOZA 10, 2 WALINIBOA, 8 NILIWAPATA, 2 HAWAKUWA CHAGUA LANGU, NIMEWALA 6.
Ni hapa hapa jf au??
 
Dada zetu tunashida wote humu ndani, tunataniana humu ndani sasa tusipowatongoza nyie tutamtongoza nani? Mnataka tushinde humu ila tutongoze FB na badoo? Nyie mtatongozwa na nani sasa si vizuri hivyo bwana, Mtukubalie.

Tunawapenda saana ndiyo maana. Mtu akikutongoza jua kakupenda eti na unapaswa kumkaribisha PM kwa mbwembwe zote.

Mnataka tuwape nini sisi zaidi ya mitongozo iliyotukuka(Gentamcyne)?na wewe uliyenambia haya walai sikuachi nitakuja na ID mpya tu.

"Wanaume wa JF ndivyo mlivyo" sio hivyo sisi tunajua kuwapenda ni woga wenu tu. Nyie tuacheni tuplay role yetu ya kuwa Seduce maana tushakuwa vipusa.

Tuzidi kumwombea Lisu.
Maneno kuntu haya,haya we naniliu na naniliu fungueni pm zenu walume tukuje kumwaga sera
 
Ni muda muafaka wanawake wa jf kuanza kutongoza wanaume humu, ondoen uwoga hyo ndo haki sawa sasa
Hahahahhaa hakika ngoja tufanye mazoez

Jesus is my saviour and a friend
 
Back
Top Bottom