[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Halafu usiwatongoza wanaenda kwa waganga kuosha mikosiAsante kufikisha ujumbe.
Mtumwa hauwawi.
Mitongozo inaendelea watu tunakesha humu jf tunatembea kila kijiji kila mtaa wa jf.
Kwanini nisitongoze humu????
Hapo ndio wanaleta utata.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Halafu usiwatongoza wanaenda kwa waganga kuosha mikosi
Hawana tofauti na ""watu wasiojulikana""Hapo ndio wanaleta utata.
Wanataka nini.
tatizo wanaume za watu weng humuAsante kufikisha ujumbe.
Mtumwa hauwawi.
Mitongozo inaendelea watu tunakesha humu jf tunatembea kila kijiji kila mtaa wa jf.
Kwanini nisitongoze humu????
HahahahahaDada anayetaka kutongozwa namimi muda huu, tena hapa hapa hadharani,Gonga like hapa nilianzishe
Sijui nijilipue kwako maana kuna mdau kasema hata sisi(wanawake) tunaweza kuwaanza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Asante kufikisha ujumbe.
Mtumwa hauwawi.
Mitongozo inaendelea watu tunakesha humu jf tunatembea kila kijiji kila mtaa wa jf.
Kwanini nisitongoze humu????
cc; HusnaTheBossLady [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Asante kufikisha ujumbe.
Mtumwa hauwawi.
Mitongozo inaendelea watu tunakesha humu jf tunatembea kila kijiji kila mtaa wa jf.
Kwanini nisitongoze humu????
oyoooooSijui nijilipue kwako maana kuna mdau kasema hata sisi(wanawake) tunaweza kuwaanza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wawap hao mm nakukumbuka ww tu uliye nikimbia..
Sasa nikamdekee nani mwingine love?Teh
Mbona unapenda kunidekea hivyo lakini au raha yako uone espy na wenzake wanavyoona wivu navyokubembeleza?
Sasa hivo vitu adimu hutaki namie nipate?Sithubutu, ana vitu adimu si unajua alikotokea? Ndo maana hata akitongoza najifanya sijaona ili nisije lleta ugomvi bure niachwe na mm siko tayari
Jesus is my saviour and a friend
Kweli jamani sasa hv sina hata kunguni moja, niko pekee yangu kama tai shingoni..
Hatari sana mkuu!Daby wengine wanatongoza ID feki, ID ina jina la kike lakini ni njemba
Jilipue kwangu plzSijui nijilipue kwako maana kuna mdau kasema hata sisi(wanawake) tunaweza kuwaanza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
unadhani unatongoza mwanamke kumbe ni MwanaumeHatari sana mkuu!
Unakuwa umetongozwa na wanaume 20. Ina maana wote wanakuwa wamenipenda? Naanzaje kuwakubali wote hao?Mnakuwa mnajua kbsa kuwa tunawataka sasa kwann
Huwa mnaleta mashauzi?
Ukiona mtu amekupenda mtunuku tu tunda
Mm ndyo maana vitoto vya mapenzi ya baby baby huwa siwezani navyo.
Unachangua hata wa 5 tu wa kuanzia wengne unapiga chiniUnakuwa umetongozwa na wanaume 20. Ina maana wote wanakuwa wamenipenda? Naanzaje kuwakubali wote hao?