Wanaume wa JF hamcheleweshi, mnatongoza hovyo kila mnayemwona!

Inashangaza kuona mwanamke anashangaa kutongozwa. We pokea tongozo kazi yako inakua kukataa au kukubali.
 
Unakuwa umetongozwa na wanaume 20. Ina maana wote wanakuwa wamenipenda? Naanzaje kuwakubali wote hao?
Nakumbuka kigezo chako kikuu ni DAU NONO[emoji13]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…