Wewe km unaupungufu wa nguvu wenzio acha tutafute pakuzipunguzia..Dada zetu tunashida wote humu ndani, tunataniana humu ndani sasa tusipowatongoza nyie tutamtongoza nani? Mnataka tushinde humu ila tutongoze FB na badoo? Nyie mtatongozwa na nani sasa si vizuri hivyo bwana, Mtukubalie.
Tunawapenda saana ndiyo maana. Mtu akikutongoza jua kakupenda eti na unapaswa kumkaribisha PM kwa mbwembwe zote.
Mnataka tuwape nini sisi zaidi ya mitongozo iliyotukuka(Gentamcyne)?na wewe uliyenambia haya walai sikuachi nitakuja na ID mpya tu.
"Wanaume wa JF ndivyo mlivyo" sio hivyo sisi tunajua kuwapenda ni woga wenu tu. Nyie tuacheni tuplay role yetu ya kuwa Seduce maana tushakuwa vipusa.
Tuzidi kumwombea Lisu.
sawa mkuuHaha ugomvi una wenyewe, mkuu.
Yan bro kama ningekuwa spana mkononi nadhani ningekua naongoza humu kwa madosho wengi Na visuKwa hiyo zile interview wote hata mmoja haujatongoza?
Braza men bwana eti unaogopa kusemwa cheza utageuzwa kaka yao..! Simba achezewi sharubu utararuliwa..Wanatunanga saana aiseeh...
Wala!Hilo jibu ulilopewa inaelekea limekuumiza kweli
Pesa mwanaume kweli hailiwibure..!na pesa utafute si mtongozo mkavu
Mkuu wewe una lundo la hizo mambo[emoji3][emoji3][emoji3]
Tugawane neema Aiseeeh
Hapo sawa mzee, tongoza 10 ukipiga 3 siyo mbaya.Mzee mimi naliunga mkono ndiyo maana nawauliza hawataki tuwatongoze wanataka tumtongoze nani?
aisee si kweliPesa mwanaume kweli hailiwibure..!
Emmy huyu hapa hawezi kukukimbia naamini atakusikiliza vizuri na tutegemee mazuri.Hahaaaa. Aiseee. [emoji124] [emoji124] [emoji124]