Wanaume wa JF hamcheleweshi, mnatongoza hovyo kila mnayemwona!

Wanaume wa JF hamcheleweshi, mnatongoza hovyo kila mnayemwona!

Dada zetu tunashida wote humu ndani, tunataniana humu ndani sasa tusipowatongoza nyie tutamtongoza nani? Mnataka tushinde humu ila tutongoze FB na badoo? Nyie mtatongozwa na nani sasa si vizuri hivyo bwana, Mtukubalie.

Tunawapenda saana ndiyo maana. Mtu akikutongoza jua kakupenda eti na unapaswa kumkaribisha PM kwa mbwembwe zote.

Mnataka tuwape nini sisi zaidi ya mitongozo iliyotukuka(Gentamcyne)?na wewe uliyenambia haya walai sikuachi nitakuja na ID mpya tu.

"Wanaume wa JF ndivyo mlivyo" sio hivyo sisi tunajua kuwapenda ni woga wenu tu. Nyie tuacheni tuplay role yetu ya kuwa Seduce maana tushakuwa vipusa.

Tuzidi kumwombea Lisu.
Wewe km unaupungufu wa nguvu wenzio acha tutafute pakuzipunguzia..
 
Kwa hiyo zile interview wote hata mmoja haujatongoza?
Yan bro kama ningekuwa spana mkononi nadhani ningekua naongoza humu kwa madosho wengi Na visu
Sema sitaki
Pm yangu imefurika

DJ sepetu
 
Hahaaaa. Aiseee. [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Emmy huyu hapa hawezi kukukimbia naamini atakusikiliza vizuri na tutegemee mazuri.
emmyta jamani ndio umeondoka kweli wakati nimekwambia usiondoke?? au kuna mwenye mali yupo hapa unamuogopa??? au nije chemba??

Daby eeh nisaidie kumuita mtoto mzuri emmyta aje basi ndugu yangu.
 
Back
Top Bottom