carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,562
- 285,591
Tatizo hata mkikaribishwa huko pm na mkibahatika kukubaliwa mnakuja na nyuzi humu mara oooh! Wanawake wenyewe hawajielewi,mara wanasura kama mbuzi[emoji23][emoji23][emoji23]Hatari saana.... tukija pm mtukaribishe vizuri
Mwanamke bila kumtongoza heshima hakuna ata akikutosa mkionana adabu mbele..!Daah,
Ngoja nianze kubana kete kama wewe.
[emoji23][emoji23][emoji23]eti sura kama mbuzi.Tatizo hata mkikaribishwa huko pm na mkibahatika kukubaliwa mnakuja na nyuzi humu mara oooh! Wanawake wenyewe hawajielewi,mara wanasura kama mbuzi[emoji23][emoji23][emoji23]
Bora mjibiwe hivyohivyo tu
Huyo bibie kapotea kitambo sana sijamuona[emoji23][emoji23][emoji23]eti sura kama mbuzi.
Hapo nimekosa cha kujitetea.
Ukienda kule msalimie cherie neisha
Mwanamke bila kumtongoza heshima hakuna ata akikutosa mkionana adabu mbele..!
Kuna kujidemu kinajadai kijanja nilikitongoza church kikazuga kidume nikatia Matlock sasahivi kinajisogeza ndiyo goodboy nimenuna mpk kinajuta.
Washkaji saana? Daah hata kunimegea mshkaji wako mbinu aseeh.
Nitakudaka kwa rada yangu tu wewe.
Nikimuona nitamwambia aje akusalimieYupo kanilike hapo nyuma kisha kapotea.
Joined August 28 leo hii ana watu 10 kwenye list yake tayar 6 wameisha aisseee ananipa mashaka kidogo af atatuharbia aisee sie wazaman.Aah hapana brother. . . It was a trial of being good to her.
Umemsoma ludacric hapo juu?
Hivi uniombe namba ili unitumie pesa nivunge!! Kabla haujamaliza kuomba nishatuma tayari.
Mkituona mnatukimbia na kuja kutuanzishia nyuzi humu jinsi tulivyofanana na babu zao bibi zetu!!Halafu mademu hapa wana mvuto kama magnet na hapo hujamuona live ukimuona sijui inakuaje?