Wanaume wa JF hamcheleweshi, mnatongoza hovyo kila mnayemwona!

Wanaume wa JF hamcheleweshi, mnatongoza hovyo kila mnayemwona!

Daah,
Ngoja nianze kubana kete kama wewe.
Mwanamke bila kumtongoza heshima hakuna ata akikutosa mkionana adabu mbele..!

Kuna kujidemu kinajadai kijanja nilikitongoza church kikazuga kidume nikatia Matlock sasahivi kinajisogeza ndiyo goodboy nimenuna mpk kinajuta.
 
Tatizo hata mkikaribishwa huko pm na mkibahatika kukubaliwa mnakuja na nyuzi humu mara oooh! Wanawake wenyewe hawajielewi,mara wanasura kama mbuzi[emoji23][emoji23][emoji23]
Bora mjibiwe hivyohivyo tu
[emoji23][emoji23][emoji23]eti sura kama mbuzi.

Hapo nimekosa cha kujitetea.

Ukienda kule msalimie cherie neisha
 
Mwanamke bila kumtongoza heshima hakuna ata akikutosa mkionana adabu mbele..!

Kuna kujidemu kinajadai kijanja nilikitongoza church kikazuga kidume nikatia Matlock sasahivi kinajisogeza ndiyo goodboy nimenuna mpk kinajuta.

Aiseeh ni kweli arifuuu
 
Washkaji saana? Daah hata kunimegea mshkaji wako mbinu aseeh.

Nitakudaka kwa rada yangu tu wewe.

Kaka, u just be a Man, na kuwa muungwana is all, ila sio mambo Mema, ukigundua basi usiniaibishe.
 
Kaka, u just be a Man, na kuwa muungwana is all, ila sio mambo Mema, ukigundua basi usiniaibishe.
Teh
Ninautani mwingi hommie ila kwenye hizo mishe nipo makini kinoma.

Kuwa na amani kaka.
 
Back
Top Bottom