Wanaume wa JF hamcheleweshi, mnatongoza hovyo kila mnayemwona!

[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] napita tu.
 
Mkituona mnatukimbia na kuja kutuanzishia nyuzi humu jinsi tulivyofanana na babu zao bibi zetu!!
Hapana siyo mimi mkuu, nikibahatika kuonana na mwanaJF mwenzangu tena jinsia tofauti na yangu hiyo itabaki kuwa siri yetu wawili tuu
 
Tuma kwanza mpesa bwana ndio hata chatings zinanoga, sasa msg 6 zote salamu!! You cant be serious.
[emoji3][emoji3][emoji3]
Hello, mambo nimeona comments zako jukwaani nimekupenda.

U mzima Mrembo? [emoji3][emoji3]
 
Ha ha ha ha mie nakuja na ID yangu hv hv nikujie na ID mpya ili untoe kwenye reli mapemaa
Hamjuagi tu, ukija na id yako ilozoeleka hata inampa mtu nguvu angalau ya kukujibu. Hizo zingine unasoma tu unazifuta au unaendelea na mambo yako mengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…