Mambo?[emoji3][emoji3][emoji3]
Hello, mambo nimeona comments zako jukwaani nimekupenda.
U mzima Mrembo? [emoji3][emoji3]
Mkuu bora uje ucollect cheque tu utaenda kuchukua mwenyewe bankNakutumia account number mkuu. Hebu fanya mambo kabisa.
Nyie mbakie kuwa kaka zangu tu.Sasa si unaona haututaki.
Ha ha ha ha kkumbe ndio siri yenu bas sio mbaya ID yangu hii hii itakuhusu aisee jiandae na Friday MtongozoHamjuagi tu, ukija na id yako ilozoeleka hata inampa mtu nguvu angalau ya kukujibu. Hizo zingine unasoma tu unazifuta au unaendelea na mambo yako mengine.
Namtuma boda boda umpe aniletee.Mkuu bora uje ucollect cheque tu utaenda kuchukua mwenyewe bank
Wewe labda uje kunipa taarifa za maendeleo ya Lissu, of which ntakuwa nishayapata.Ha ha ha ha kkumbe ndio siri yenu bas sio mbaya ID yangu hii hii itakuhusu aisee jiandae na Friday Mtongozo
NB. Mie ndio yule mshind wa Tatu mzuka na Biko wa week hii
C.c Daby kwa kumbukumbu.
Hapa nilipo bodaboda ni wanted, kabla hajafika amekamatwa kidoogo tuma Tax mkuuNamtuma boda boda umpe aniletee.
Ambatanisha majina yako ya kwenye kitambulisho tafadhali nakuandalia chequeNishakutumia account number mkuu.
Haya namtuma dereva tax fasta.Hapa nilipo bodaboda ni wanted, kabla hajafika amekamatwa kidoogo tuma Tax mkuu
Tayari mkuu.Ambatanisha majina yako ya kwenye kitambulisho tafadhali nakuandalia cheque
Design kama huyu usisumbuke kumjibu, mimi naacha Business card tuuu then tunatafutana mkuuMambo?
Vipi?
Mzima wewe?
Mambo yanakwendaje?
Uko poa lakini?
Niambie(hii ndio inakera kuliko maelezo)
Vipi huko?
Yaani kila ukijibu inakuja salamu nyingine utafikiri kipindi cha kutumiana salamu RTD!!!!
Hayo ndio maneno sasa. Soon takupigia.Design kama huyu usisumbuke kumjibu, mimi naacha Business card tuuu then tunatafutana mkuu
Si unajua dada anapewaje hela na kaka yake enhee ngoja nmtafute wa kula nae pesa za ushind wangu wa week hiiWewe labda uje kunipa taarifa za maendeleo ya Lissu, of which ntakuwa nishayapata.
Nyie mbakie kuwa kaka zangu tu[emoji57]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] we Daby hufai kabisa.Kwa hiyo unataka kuniambia iliyotembea oDo 45000km ni sawa na ile iliyotembea oDo 345km. [emoji119][emoji119]
Nipigie tuyajenge leo ijumaa tutafute sehemu tupate mvinyo kwa maongezi zaidiHayo ndio maneno sasa. Soon takupigia.
We tangu wiki ilopita nakuomba pesa na haunitumii[emoji57] [emoji57] [emoji57]Si unajua dada anapewaje hela na kaka yake enhee ngoja nmtafute wa kula nae pesa za ushind wangu wa week hii
Heaven Sent upo mrembo wangu bado unatumia namba ile ile ya TTCL ya mezan enhee?
Utume pesa kwanza.Nipigie tuyajenge leo ijumaa tutafute sehemu tupate mvinyo kwa maongezi zaidi
Pesa kiasi gani mkuu, pesa ya kutuma si haina baraka kama ya kufungua wallet paaaah natoa natoa nikiona kama hujaridhika nakuongezea tenaUtume pesa kwanza.