Wanaume wa JF hamcheleweshi, mnatongoza hovyo kila mnayemwona!

[emoji3][emoji3][emoji3]
Hello, mambo nimeona comments zako jukwaani nimekupenda.

U mzima Mrembo? [emoji3][emoji3]
Mambo?
Vipi?
Mzima wewe?
Mambo yanakwendaje?
Uko poa lakini?
Niambie(hii ndio inakera kuliko maelezo)
Vipi huko?

Yaani kila ukijibu inakuja salamu nyingine utafikiri kipindi cha kutumiana salamu RTD!!!!
 
Hamjuagi tu, ukija na id yako ilozoeleka hata inampa mtu nguvu angalau ya kukujibu. Hizo zingine unasoma tu unazifuta au unaendelea na mambo yako mengine.
Ha ha ha ha kkumbe ndio siri yenu bas sio mbaya ID yangu hii hii itakuhusu aisee jiandae na Friday Mtongozo

NB. Mie ndio yule mshind wa Tatu mzuka na Biko wa week hii

C.c Daby kwa kumbukumbu.
 
Wewe labda uje kunipa taarifa za maendeleo ya Lissu, of which ntakuwa nishayapata.
Nyie mbakie kuwa kaka zangu tu[emoji57]
 
Mambo?
Vipi?
Mzima wewe?
Mambo yanakwendaje?
Uko poa lakini?
Niambie(hii ndio inakera kuliko maelezo)
Vipi huko?

Yaani kila ukijibu inakuja salamu nyingine utafikiri kipindi cha kutumiana salamu RTD!!!!
Design kama huyu usisumbuke kumjibu, mimi naacha Business card tuuu then tunatafutana mkuu
 
Wewe labda uje kunipa taarifa za maendeleo ya Lissu, of which ntakuwa nishayapata.
Nyie mbakie kuwa kaka zangu tu[emoji57]
Si unajua dada anapewaje hela na kaka yake enhee ngoja nmtafute wa kula nae pesa za ushind wangu wa week hii

Heaven Sent upo mrembo wangu bado unatumia namba ile ile ya TTCL ya mezan enhee?
 
We tangu wiki ilopita nakuomba pesa na haunitumii[emoji57] [emoji57] [emoji57]
 
Back
Top Bottom