Bonny
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 13,370
- 29,968
Mie na wewe tena hakiharibiki kitu mama chek salio tu tafadhaliEeeh bado inapatikana, tuma assist basi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mie na wewe tena hakiharibiki kitu mama chek salio tu tafadhaliEeeh bado inapatikana, tuma assist basi
Mmh hilo salio umetuma kwangu au kwa espy?Mie na wewe tena hakiharibiki kitu mama chek salio tu tafadhali
ule muamala unatuma saa ngapi? au usharusha kwa miss chaggaAsante sana, naomba sasa nijielekeze kwenye mtongozo juu yako Miss chagga
Ooooh Miss natafuta una balaaa, nitakufanyia mambo usiwazeule muamala unatuma saa ngapi? au usharusha kwa miss chagga
Weee kumbe na mimi ni miss?
Hapana soon utakuwa my MrsWeee kumbe na mimi ni miss?
[emoji85] [emoji85] [emoji85][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji8]
[emoji78] [emoji78] [emoji78]Hapana soon utakuwa my Mrs
We umeona tongozo hapo?Oouh
Maana nilichoka kuwasoma mtongozo mrefu kama siasani bwana.
Haha yani nimecheka kama mazuri jamani, mtu hata haku-seduce kumjibuMambo?
Vipi?
Mzima wewe?
Mambo yanakwendaje?
Uko poa lakini?
Niambie(hii ndio inakera kuliko maelezo)
Vipi huko?
Yaani kila ukijibu inakuja salamu nyingine utafikiri kipindi cha kutumiana salamu RTD!!!!
Si unajua hawana jema hawa!! Ukikataa taabu na ukikubali pia taabu!Ni kama vile wanataka tukitongozwa tusikatae. Ili wapate mada kuwa tunajirahisisha, maharage ya mbeya etc..teh
Yani nimechanganyikiwa uncle, sikujua kama na sisi mabonge ni mamissMpwa haujambo...
Ninajaribu kuvuta taswira ni kwa namna gani hilo neno weee lilivyokusisimua.
Haujaachia keyboard kwa muda kweli?