Wanaume wa JF hamcheleweshi, mnatongoza hovyo kila mnayemwona!

Tatizo mnatutongoza na kufikiria kuwa sie ni wazuri wakati kiuhalisia ni wa kawaida tu,,kimbembe tunapokuja kuonana na unakuta chura haipo,sura kama ya magu ,miguu kama muwa ndipo mnakuja kututangaza humu kuwa tuna matiti kama matikiti ya morogoro
Mi ni hayo tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dada anayetaka kutongozwa namimi muda huu, tena hapa hapa hadharani,Gonga like hapa nilianzishe
Cha ajabu hata wanaume nao wamekupa LIKE.... LABDA KAMA NI WANAWAKE WANAOTUMIA MAJINA YA KIUME..!!!
 
Ila humu kunaogopesha sana sana
Halaf sasa wanavyokosoa wao ukiwaona utacheka pia[emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna baba mmoja alienda na rafiki zake kununua malaya wakalale nao ,huyo baba akawa anachagua wale makahaba mmoja wao akamuambia nawe unachagua nini na ulivyo mbaya hebu twende huko[emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tatizo mnatutongoza na kufikiria kuwa sie ni wazuri wakati kiuhalisia ni wa kawaida tu,,kimbembe tunapokuja kuonana na unakuta chura haipo,sura kama ya magu ,miguu kama muwa ndipo mnakuja kututangaza humu kuwa tuna matiti kama matikiti ya morogoro
Mi ni hayo tu
Hahahaaaa!!!
Hawana adabu hata kidogo
 
Halaf sasa wanavyokosoa wao ukiwaona utacheka pia[emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna baba mmoja alienda na rafiki zake kununua malaya wakalale nao ,huyo baba akawa anachagua wale makahaba mmoja wao akamuambia nawe unachagua nini na ulivyo mbaya hebu twende huko[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Unakuta huyo anaechambua yeye mwenyewe kimeo hatari, unamuombea tu mwanae wa kike aje afanane nae alafu apambane na hali yake.
 
Halaf sasa wanavyokosoa wao ukiwaona utacheka pia[emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna baba mmoja alienda na rafiki zake kununua malaya wakalale nao ,huyo baba akawa anachagua wale makahaba mmoja wao akamuambia nawe unachagua nini na ulivyo mbaya hebu twende huko[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]

Jesus is my saviour and a friend
 
Mambo?
Vipi?
Mzima wewe?
Mambo yanakwendaje?
Uko poa lakini?
Niambie(hii ndio inakera kuliko maelezo)
Vipi huko?

Yaani kila ukijibu inakuja salamu nyingine utafikiri kipindi cha kutumiana salamu RTD!!!!

[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Mi sielewi kwa wale mnaotongozana,,mnakua mnajuana kabla au?? Mana mi sipati picha mnatongozana hamjawahi kuonana ,,hehe
 
Halaf sasa wanavyokosoa wao ukiwaona utacheka pia[emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna baba mmoja alienda na rafiki zake kununua malaya wakalale nao ,huyo baba akawa anachagua wale makahaba mmoja wao akamuambia nawe unachagua nini na ulivyo mbaya hebu twende huko[emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe ni chizi [emoji1] [emoji1]
 
Back
Top Bottom